Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, sambamba na masuala mengine yanayoikabili dunia, kumesababisha bei za vyakula kupanda. Hali hiyo imeweka tena angalizo juu ya kuhakikisha usambazaji wa chakula, ...
DESEMBA 11, mwaka huu katika Manispaa ya Lindi, kulifanyika Kongamano la Wataalamu wa Kilimo na Ushirika. Kongamano hilo ...
Jahangir Janana (miaka 30) wa Lower Orakzai, wilaya ya kikabila nchini Pakistani, na wakulima wengine katika eneo hilo wanasubiri mvua ifike na serikali kuruhusu kisheria kilimo cha bangi. Kulingana ...
Lesotho ina malengo ya kupata fedha kutoka kwa biashara inayokua kwa kasi ya bangi, lakini mwandishi wa BBC Vumani Mkhize anasemna taifa hili ya kusini mwa Afrika tayari linakabiliana na biashara ...
Vijiji vya Rabai katika kaunti ya Kilifi vina utajiri mkubwa ambao ni ardhi yenye rutuba. Wakulima wana matumaini mapya baada ya serikali ya kaunti kuzindua mradi maalum wa kufufua kilimo cha korosho ...
Kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi katika mataifa mengi katika bara la Afrika,hii ni kutokana na sekta hiyo imekuwa na mchango mkubwa katika kuchangia pato la taifa haswa kupitia mazao ya ...
Nchini Kenya, baadhi ya wakulima wa parachichi au Avocado, wamo katika njia panda ya ni wapi watauza mazao yao baada ya bodi inayosimamia kilimo cha butsani nchini humo Horticulture Crops Directorate, ...
ARUSHA: NAIBU Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi amekiagiza Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia ...
Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!
Mabadiliko ya tabianchi yanaendelea kuacha athari mbaya kwa jamii zinazolizunguka Ziwa Naivasha, katikati ya Bonde la Ufa ...