Mahitaji ya parachichi barani Ulaya na Amerika Kaskazini yameongezeka mara tatu uzalishaji wa kimataifa katika kipindi cha zaidi ya miaka 20. Hata hivyo, tunda hili maarufu linazidi kuleta utata ...
Wakulima wa maparachichi katika kaunti ya Meru wanashusha pumzi baada ya kupata kifaa kipya cha kunasa nondo waliokuwa wakiharibu matunda yao. Mashamba ya maparachichi yaliyoko Meru yamenawiri na ...
Nchini Kenya, baadhi ya wakulima wa parachichi au Avocado, wamo katika njia panda ya ni wapi watauza mazao yao baada ya bodi inayosimamia kilimo cha butsani nchini humo Horticulture Crops Directorate, ...
Juisi nzito ya ZaaZaa ya Morocco ni laini na tamu – hutengenezwa kwa parachichi na inatosheleza kama tiba ya baada ya kufunga wakati wa Ramadhani. "Katika sehemu nyingi za dunia, watu hufikiria ...
Kilimo cha parachichi nchini Kenya ni hoja mpya ila wakulima wengi wanashawishika kuyasafisha mashamba yao na kuujaribu mmea huu. Hatua ya serikali kutafuta soko la zao hilo vile vile imewatoa ...
Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!